Mwanafunzi askari chuo cha anga cha JWTZ ajiua

Jamani, ukimwona mtu ambaye mara nyingi anapenda kuwa peke yake mfuatilie kwa makini kwani anaweza kuwa na stress ambayo inaweza kumsababisha kujiua au kuua wenzake. Hata mtu ambaye ghafla anaanza kucheka sana aangaliwe pia kwa makini ni lazima patakuwa na jambo nyuma ya kicheko hicho.
Mbona hueleweki akiwa kimya shida akicheka sana shida hiyo psychology ya wapi?
 
Mkuu mimi nafahamu stress na depression, hiyo distress naomba maelezo kabla ya kugugo..
stress imegawanyika mara mbili: kuna eustress na disress. hiyo ya kwanza ni stress ambayo mtu anakuwa na furaha sanaaa mfano kuoa, kupata mtoto, kupata cheo na mengine mengi halafu hiyo ya pili ni kwamba mtu anakuwa ana stress mbaya mfano kufiwa mke, mtoto, kufukuzwa kazi nakadhalika. Sijui kama nimekupa overview kidogo au bado niendelee kushusha nondo😀😀
 
Ahaa basi sawa mkuu wangu wa kazi, kwahiyo sasa wewe umesha conclude kua hiyo ni distress kwa kuangalia factors zipi labda? na je ndugu mtaalam, haijawahi tokea labda mtu akafurahi sana mpaka akaamua kujiua?
 
mara nyingi mtu akiwa na furaha sana hawezi kujiua, sana sana atakosa usingizi tu
 
Lazima alikuwa those pure introvert type of nigas.

Me candid advice unto ye. You need to loosen up a lil bit if you's one of em
"pure introvert" what did you mean? ....just curious
 
mara nyingi mtu akiwa na furaha sana hawezi kujiua, sana sana atakosa usingizi tu
Sawa mtaalam, kwa kua sentensi yako ina matumizi ya neno mara nyingi inamaana sio mara zote, hivyo kuna uwezekano pia wa jambo hilo kutokea, na pia ukizingatia kwamba ukosefu wa usingizi ni hatari kiafya na unaweza pelekea hata kupoteza maisha..
 
Kweli ndugu..Na pia tujifunze kutoa ushauri ulio bora kwa mtu aliyekata tamaa kabisaa.Maana sisi pia huwa chanzo cha haya mambo.Una mjambo umekukaa kooni unamfuta mtu wa karibu umjuze ili tu utue ulilo nalo.Unapewa majibu ambayo hupelekea kuanguka zaidi.
"Everyone is fighting a battle you know nothing about be kind always"-?
 
Jamani, ukimwona mtu ambaye mara nyingi anapenda kuwa peke yake mfuatilie kwa makini kwani anaweza kuwa na stress ambayo inaweza kumsababisha kujiua au kuua wenzake. Hata mtu ambaye ghafla anaanza kucheka sana aangaliwe pia kwa makini ni lazima patakuwa na jambo nyuma ya kicheko hicho.
ha ha ha ha ha ha naona hata mie nitajiua soon lol, NAPENDA KUCHEKA SANA SIKU HIZI, tujifunze kutafuta watu wa kuongea nao yale yanayotusibu moyoni tusipende kuweka kila kitu moyoni na pia tuwe karib na Mungu kuepusha kila jambo kuliona ni kubwa, unapoweka Imani kwa Mungu unajua kila tatizo ni la muda na litapita.
 
Ahaa basi sawa mkuu wangu wa kazi, kwahiyo sasa wewe umesha conclude kua hiyo ni distress kwa kuangalia factors zipi labda? na je ndugu mtaalam, haijawahi tokea labda mtu akafurahi sana mpaka akaamua kujiua?
Soma post vizuri utaelewa. Soma tena na tena. Usichoke. Hatimayr utaelewa. Ila ukikurupuka unaweza kudhani tunamaanisha mtu aliyegurahishwa na jambo fulani. Read again and again and again.
 
Kwa soldier bora kujiua kwa kujipiga risasi kuliko kujinyonga ingawa vyote ni vifo.ameonyesha ujasili wa hali ya juu,RIP soldier
 
Back
Top Bottom