Mwanafunzi askari chuo cha anga cha JWTZ ajiua

Mwanafunzi askari chuo cha anga cha JWTZ ajiua

Namsifu tu yule wa Urusi aliyewaamuru kikosi cha anga wamlipue pamoja na magaidi wa ISIS
 
Hayo matatizo yanawapata sana wajeshi wa kizungu inaitwa PTSD post traumatic stress disorder.
Mtu anadata anaweza kuua hata kambi nzima
 
Si vema kushabikia, je kama aliombwa/kuliwa tigo (unyanyasaji wa kijinsia na wakubwa)?
 
Si vema kushabikia, je kama aliombwa/kuliwa tigo (unyanyasaji wa kijinsia na wakubwa)?
 
Kujiua siku zote inatokana na ufahamu mbovu waliobebeshwa watu na serikali tangu ma shule. Utakuta mwanafunzi kajiua kisa matokeo yamekuja vibaya, alafu utakuta serikali inakusisitiza kuwa ELIMU NDIO UFUNGUO WA MAISHA. Si kama yule jamaa aliyepinduka ngiri na kufa baada ya Mzee wa sukari kusema atatia maguu. Mtu kama mimi msomi siwezi kujiua kifal* eti kisa stress, nakwambia siwezi kujiua kiboya boya.
 
Nimeamua kutoa ujumbe kwa watu wakimya kupitiliza. They shouldn't take life so serious
Introverts are oftenmisunderstood to be shy and rude, also extroverts often think that introverts are aloof and lack a big social circle or the So called "happening" life. In reality if you get talking with an introvert, you shall realise that they are actually very awesome and happening by themselves!
 
Alazwe pema peponi kamanda...!!!!

Alazwe pema peponi kamanda....!!

Kwakuwa Mola wala hawezi kosea amerudi udongoni alipotokea...................
 
Back
Top Bottom