Yah unaweza disc semister ya kwanza coz ukifeli masomo 4 inakuwa imekula kwakoHvi mzumbe huwa wanadisco semister ya kwanza?
Mwanafunzi wa masters chuo Kikuu mzumbe main campus amejinyonga mpaka kufa.habari za mapema zinasema kuwa mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma uchumi amejinyonga baada ya matokeo kuonesha kuwa amedisco (matokeo yaliachiwa Jana) taarifa zaidi nitaendelea kufuatilia ila kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Njombe.pole kwa familia ya marehemu na wanajumuia wote wa mzumbe.
Huyu lazima ajinyonge maana alikuwa anatafuta masters akiwa na ndoto za ku-fight kupata U-DED kamili. Halmashauri nyingi zimeweka kigezo cha masters ndo u-qualify kuwa mkuu wa idara. Hivyo dogo idara ilikua inamtoroka hiyo!!Kuna wakati nilimkuta amekaimu u DED alinisaidia sana ishu moja.Dah!