Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
- Thread starter
-
- #21
Pole sana mkuu. Girlfriend wako alirudi salama?So sad,najua uchungu wa huko japo sijawahi na sitakwenda ng'o,my girlfrend(awamu ya kwanza) alikuwa analalamika mda wote,ukiumwa hakuna anaejali na ukifa ndio furaha yao mana wanapandishwa vyeo,I was so worried kila alipougua anapewa panado na siku moja ya kupumzika bila kujali amepona siku ya pili lazima aende mzigoni hata kama amemeza vidonge vikali na drip za ma quinini.
SO SAD HATA KAMBI YAO KIGOMA ALIFARIKI MVULANA MMOJA KWA MALARIA NI WA MOSHI,chanzo ni uzembe alikuwa mgonjwa alipoenda hospitali akapewa panado na usiku akazidiwa na walipomrudisha hospitali akawa ameaga dunia,TAARIFA ZA KIFO ZILIKA MAPEMA NYUMBANI MANA WENZAKE WALIPIGA SIMU,cha kushangaza kifo kile kiliwafurahisha watoa mafunzo,nilipouliza iweje mtu afe wengine washerekee nikaambiwa WATAPANDISHWA VYEO WOTE,whatr a foolish?AFU WALIPOENDA KUZIKA WAKAONGOPA MDA ALIOKUFA KWENYE RISALA MANA HAWAKUJUA KAMA FAMILIA ILIELEZWA KILA KITU.
Atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kukosa uwezo wa kudahiliwa vyuoni.Kule kutibiwa ni usiku sana 11 na hupewi mapumziko unaendelea na mafunzo kama kawa, hivi ukikataa kwenda huko inakuwaje? maana mimi mwanangu simpeleki huko.
Atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kukosa uwezo wa kudahiliwa vyuoni.
Shiittt!! Asije kuwa alibakwa, wazazi/ndugu waombe uchunguzi. R.I.P
Pia wanajeshi huwa hawana muda mtu akiugua mi nadhani huyo marehemu alionesha dalili na wao wakadharau.
Ninaitafuta sheria ya JKT ila hili hapa tangazo laoHatua zipi mkuu.
Mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya sekondari Loyola Halima Kitangila amefariki dunia huko Msange Tabora JKT kwa madai ya kuugua maleria.
My take
Kuna haja ya serikali kuangali utaratibu wa mafunzo hasa kwa watoto wa kike ambao hawaendi JKT kujitolea. RIP Halima.
Source: Tanzania Daima
Na inawezekana alireport anaumwa wakaona hataki kufanya mazoezi na makazi yao.....UTII WA SHERIA BILA SHURUTI....Usije ukawa ulitumika hapo
Wazazi wengi wana wasiwasi na JKT hasa kwa watoto wa kike. Kama hali ikiendelea watoto kupoteza maisha nina mashaka kama huu mpango utaendelea.Ni kweli nasikia ali report lakini hawakutilia maanani wakidhani ni mvivu mi nadhani vijana wa kiume tu.ndio waende huko sisemi kwamba hawataumwa at list at list miili yao inaweza vumilia shida..
Imagine wadogo zetu siku zao za mwezi zikifika akihitaji vifaa lazima aombe..
Watoto wengine wamelelewa maadili tofauti wana aibu sana
Serikali iangalie upya kwa dada zetu kwenda huko
Ninaitafuta sheria ya JKT ila hili hapa tangazo lao
TANGAZOJESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YA RUVU PWANI, MGAMBO TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA TANGA, RWAMKOMA MARA, MLALE RUVUMA NA KANEMBWA KIGOMA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI HAYO TAREHE 24 JUNI 2013 KAMA ILIVYOTANGAZWA AWALI.
VIJANA HAO WARIPOTI KATIKA MAKAMBI WALIYOPANGIWA KAMA ILIVYOONYESHA KATIKA TOVUTI YA JKT Jeshi la Kujenga Taifa. ATAKAYERIPOTI KAMBI AMBAYO HAKUPANGIWA HATAPOKELEWA. VIJANA HAO WALIPOTI WAKIWA NA VYETI VYA LEAVING VYA KIDATO CHA NNE AU CHA SITA KWA UTHIBITISHO
INASISITIZWA KUWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA, ATAKAYESHINDWA KURIPOTI ATAKUWA AMEVUNJA SHERIA NA ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA
VIJANA WATUNZE TIKETI ZAO WALIZOTUMIA KWENDA KATIKA MAKAMBI YA JKT. NAULI ZAO ZITAREJESHWA NA JKT WATAKAPORIPOTI KAMBINI.
VIJANA WALIOCHAGULIWA KATIKA AWAMU YA PILI NI WALE WALIOFAURU KWA DIVISION I, II NA BAADHI YA DIVISION III MCHEPUO WA SAYANSI.
VIJANA WA KIDATO CHA SITA 2013 AMBAO MAJINA YAO HAYAKUORODHESHWA KATIKA TOVUTI HIYO, WATAJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU MWEZI SEPTEMBA 2013.