Ninachojua Mimi. Mkiingia fomu wani mnapewa orientation ya kutumia maabara na shule nyingine Hadi orientation ya kutumia vyoo vya ku flush.Taratibu za maabara yoyote ni lazima upewe maelekezo na uyafuate, je Mwalimu alitoa/hakutoa maelekezo kabla hajagawa hiyo chemical
Sasa Hawa fomfoo watakua wamesahau walicho fundishwa miaka minne iliyopita?
Tusimlaumu mwalimu