MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,222
- 6,716
ChemistryWhich laboratory??
ChemistryWhich laboratory??
Methanol ni hatari sana. Ukinywa kuna mawili kufa au kuwa kipofu inategemea umekunywa kiasi gani. Tena hata ukichanganya na pombe nyingine unaweza kuwa kipofu kabisa.
Physics with chemistry [emoji28][emoji28]Laboratory rules..... Don't eat or drink anything in the laboratory
Kuna jamaa walichangaya methanol na bia ili kukoleza stimu. Kufika saa tisa mchana wakaanza kuulizana mbona leo jua limezama mapema hivi.
Kumbe walishapofuka macho!