Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

Kosa la mwl liko wap alichukua kijiko akawanywesha au si wao tena form 4? Uwaache waalimu ni utundu wao
 
R.I.P wajinga, peer pressure...
Rules za laboratory..
Don't drink nor eat in the laboratory.
Machupa yote yana zile tahadhari💥☢️❌⛔🆎♨️⚠️

Hao siyo umri wa kindergarten, walimu wawasimamie muda wote!

Everyday is Saturday................................😎
 
Nakumbuka kipindi hiko tulikuwa tunaenda Lab kunusa zile Chemicals, hapo mtu unatoka UMEWAKA HATARI unaanza KUBEMBEA TU
 
Hivi zile sheria/kanuni/taratibu za maabara walizielewa kweli!

Wape pole walionusurika.

Wanafunzi wa vizazi hivi wanataka kujaribu kila kitu na hata ingekuwa Ethanol au Sodium Chloride haitakiwi kuonjwa au kunywa!
 
Labaratory rules si ni kidato cha kwanza. Ujinga wa kwanza kuonja kemikali za labaratory, ujinga wa pili na mkubwa kufanya siri baada ya kuona imewaletea madhara.
 
Ukiachilia mbali hao wajinga kunywa sumu, kuna hili ambalo wengi ni kama hatulioni kwenye hii habari.

Wamepimwa ugonjwa haukuonekana (bila shaka hapa ni ishu ya vifaa kutokidhi mahitaji katika kituo cha afya husika na hili ni tatizo karibia nchi nzima isipokuwa kwa baadhi vilivyopo dar) na bado madaktari na manesi wanaendelea kukaa na mgonjwa.

Hii ina maana kwamba kama sio dogo kukiona kifo jirani na kutoboa siri, wangekufa bila kujulikana tatizo ni nini. Kwann kama hapo walipopokelewa na kupewa huduma ya kwanza walishindwa kutambua tatizo hawakuwapa rufaa mapema?

Ifike mahali tuache kucheza na afya za watu
Point
 
Ulitaka waone Ugonjwaa gani????? Unadhani kuwa na dalili za ugonjwa inatoshaa kufanya vipimo vioneshe una ugonjwaa.. Kilochotokea itakuwa walitreat symptoms za ugonjwa lakini Methanol ni sumu inayoharibu macho...maini na figo yani slow slow tu lakini mwisho wa siku yanakukuta hayoo...
Bado sijaipata vyema point yako bro, so kwa mtazamo wako unaona madaktari walikua sahihi kwa kubweteka kwao sababu wameshindwa kuona ugonjwa ?
 
Bado sijaipata vyema point yako bro, so kwa mtazamo wako unaona madaktari walikua sahihi kwa kubweteka kwao sababu wameshindwa kuona ugonjwa ?
Walitibu symptoms akapata nafuu lakini ndani methanol iliendendelea kumtafuna thats it..
 
Ethanol ni kemikali itumikayo katika utengenezaji wa pombe. Basi nao wakidhania ni pombe wakaibugia. Asaleeh! Tuwakemee watoto wetu wajaribupo kuonja ama kushawishika katika matumizi ya pombe katika umri mdogo.

Baada ya kuinywa, waliendelea na mambo yao. Hali zao zilianza kubadilika baada ya siku mbili. Wakakubaliana kuifanya siri isigundulike. Walilegea na kuzidiwa na kufikishwa katika kituo cha afya cha karibu. Madaktri walianza kuwapima, hawakuonyesha dalili ya ugonjwa wowote.

Waliingiaje maabara bila msimamizi
 
Walikunywa mzigo concetrated, hawajui kwamba mzigo wa nyagi lazma uwe distilled kwanza before kuingizwa kwenye chupa.😂😂😂
 
Hivi zile sheria/kanuni/taratibu za maabara walizielewa kweli!

Wape pole walionusurika.
Zinafundisha tangu kidato cha kwanza na ukiingia maabara unazikuta zimebandikwa.

-Do not eat or drink in the laboratory
 
Gongo imepigwa marufuku kwasababu , kwenye fractional distillation ule mrija wa kiswahili sio mrefu hivyo methanol hujipenyeza kwa kiwango kidogo.
Pale konyagi Dar, mirija Ni mirefu Kama gorofa kiasi kwamba methanol yote inabaki chini Ni ethanol tu ndio inayokingwa.
Hawa wapiga gongo wanatumia simple distillation,na ndio hapo methanol haiwi well separated na ethanol
 
Walitibu symptoms akapata nafuu lakini ndani methanol iliendendelea kumtafuna thats it..
Wanashindwa kuelewa kuwa historia ya mgonjwa ni 'muhimu' sana. Na huwezi tu kuhisi kuwa kanywa sumu bila kupewa ushirikiano.

Na inapotokea hali kama hiyo unatakiwa kumtibu mgonjwa kutokana na dalili anazozionyesha huku ukiendelea kumchunguza hali yake.

Hata baada ya kupewa taarifa walifanya upesi kuwahamisha hospital ya rufaa.
 
Methanol ni hatari sana. Ukinywa kuna mawili kufa au kuwa kipofu inategemea umekunywa kiasi gani. Tena hata ukichanganya na pombe nyingine unaweza kuwa kipofu kabisa.
 
C
Hawa wapiga gongo wanatumia simple distillation,na ndio hapo methanol haiwi separated na ethanol
Cha kushangaza Gongo Ni pombe halali nchini Uganda na haijawahi ua mtu.
Bangi Ni halali Lesotho lkn wako vizuri tu na Mirungi ndio miswaki hapo jirani Kenya. Sasa wewe jitie ujuaji ushikwe na Gongo, Mirungi na Bangi Tanzania ndio utajua hujui.
 
Hujasoma vema. Walikuwa kwenye mazoezi kwa vitendo. Na mwalimu wao bila shaka alikuwepo kuwaelekeza.

Taratibu za maabara yoyote ni lazima upewe maelekezo na uyafuate, je Mwalimu alitoa/hakutoa maelekezo kabla hajagawa hiyo chemical
 
Back
Top Bottom