Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Tukitafta src kwa kila jambo tutaletewa tomato na chilli humucijui kama tutameza ;we mwombee kama anaombeleka
 
Ndiyo maana yake mkuu,watu wanaojiua mimi huwa wananikera sana!

Mkuu tumetofautiana namna ya kuhimili mikiki mikiki ya maisha,kibaya zaidi endapo unaona huna pa kukimbilia. Huwezi jua alipatwa na nini haswa.
 
life-jesus=0, ndio kama hivyo mnaishia kujinyonga, tukiwahubiria muokoke mnasema tumechanyikiwa. UKIWA NA YESU ANAKUPA AMANI NA NGUVU YA KUSHINDA JARIBU LOLOTE BADALA YA KUISHIA KUJINYONGA.
 
life-jesus=0, ndio kama hivyo mnaishia kujinyonga, tukiwahubiria muokoke mnasema tumechanyikiwa. UKIWA NA YESU ANAKUPA AMANI NA NGUVU YA KUSHINDA JARIBU LOLOTE BADALA YA KUISHIA KUJINYONGA.

hayajakukuta japo kujinyonga sio suluhisho. Hata hiyo equation utaisahau
 
Njelekela siyo Mhehe ni Mpare mimi niliweka ile neno kwa kejeli tu haswa ilikuwa niwaulize je hata huyu ni Mhehe? Katika maana kuwa siyo wote wanaojinyonga ni wahehe fani hii inashika kasi.


navyojua mimi kina njelekela ni wangoni wa magagura songea
 
tatizo la kutojiamini nini anafanya na nini anatakiwa afanye kwa wakati huo.
 
Intrapersonal conflict mbaya sana,tunasubiri chanzo mana maamuz hayo aliyoyafanya marehemu ni mazito sana!!!!
 
rip jembe KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA N KIFO KINATAFUTA 7BABU BT MBELE KWAKO NYUMA KWETU CIZ WEW ULIKUWA FUNDI YAAAAN MANA WENGINE WANAONGEA HAWAJAKUELEWA BT MCN U BRO.......TANGULI JEMBE C WENYEW TUTAKUFATA NA TULIPO HPA TUNATEMBEA NACHO MFUQONI.KIFO............
 
i was at the scene nilioverhear rafiki yake aliemshusha akiongea kwa huzun nd he said the guy was Hehe in nature

Nimepata taarifa kuwa kwao ni Ludewa Mkoa wa Njombe lakini si Mhehe, the Njelekela I know ni wapare sasa sijui imekuwaje. Sorry kwa kupinga bila kupata uhakika zaidi. Mungu amsamehe dhambi hii ya kujinyonga.

Ndugu zangu WAHEHE ACHENI KUJINYONGA. IKITOKEA KUNA TATIZO TAFUTA USULUHISHO TOKA KWA RAFIKI YAKO WA KARIBU, ITASAIDIA MUNKARI KUPOA UKAWA UKO SAWA KULIKO KUJITEGEMEA KUTAFUTA SULUHISHO.
 
wanafunzi okokeni jamani,mi nilishuhudiaga yule aliefia swimming pool ile 2008 dah inatia huruma saaaaana!
 
Back
Top Bottom