Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Halafu mtu huyo huyo angehukumiwa kunyongwa mpaka kufa na mahakama, usishangae kusikia anakata rufaa!
 
alikua anaishi main campus,mabibo hostel au kitaa..andika kitu full mkuu
 
hapo dem kamtosa, au kakuta analiwa na jamaa yake
 
Nawapa pole wazazi kwa muda waliopoteza kumsaidia huyu dogo kumbe yeye alikuwa hataki kuishi......Nenda popote mwanasheria uliyetarajiwa.
 
Mungu wangu sijui wasomi tuna mzimu gani unatutembelea? Kumbukeni hata SOCRATE alijiua kwa matatizo ya dunia.
Wanasayansi wanatengeneza mashine za kucheki akili za wenzao wanasahau za kwao.
Ni semister ya nne hapa chuo nimeshashuhudia mmoja kujiua na mwingine amedakwa anataka kujirusha ghorofani akashikwa kabla hajafanikiwa akaenda kunywa sumu home kwao.
 

Labda alipima akakutwa na Ngoma...'You never know'
 
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''

Mh!chuo kijiandae kwa safari, ila wakumbuke kuacha laptop zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…