GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kashapita huyo, maana wajumbe wna mzuka naye kama wote
 
Mungu awe Upande wake na kumshindia Vita yake.
Ccm kumejaa wajinga wa kutosha, hajasema hata atafanya nini tofaiti na wengine. Na cha ajabu hakuna hata mwenye swali la kumuuliza. Huu ujinga upo ccm tu.
 
Dada yake
Mtoto wake na
Mkwe wake
Bado position ambazo hazionekani plus misamaha na madeals ya kibiashara ,isitoshe tu kusema mitano tena .
 
Back
Top Bottom