Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Eeehh walimwengu wanavijimambo......unafurahia kumtoa mtoto wa mwenzako ndani kwa kisingizio cha mapenzi uroho wa Mali unakufumba macho kaka tena toka acha familia ya watu umewakuta wewe ndio uondoke........ungekuwa mwanaume kamili ungemkaribisha kwako hapo waachie wanawe.......huu naona uchawi sio ajabu umemuharibu Mama wa watu hata hajielewi
 
Hebu akupishe huko ujilie maisha.
Kula bata ndugu ha ha ha.
 
Angekuwa kaoa labda kidogo ingeleta mantiki..ila uzini na mama yangu na tena kwenye nyumba yetu AF unataka heshima yangu,labda kama unipumbaze kwa miti shamba ulionayoo.

Mkuu vipi kwani wewe ndiye mtoto wa huyo mama unayesoma chuo
 
aiseee mleta mada tena uombe Mungu huyo kijana ni mtaratibu na mpole ingekuwa imetokea kwangu haki ya Mungu ninekuweka suparglu mkund** na sehemu ya haja ndogo
 
Una watoto?, imewahi kuoa/kuishi na mwana mke wa rika lako????
 

Huyo mtoto kweli umemzidi kwa mbali kiumri, lakini kiakili amekuzidi mbali. Hapo hamtaelewana kabisaaa
 
Anyways. Maisha binafsi but.
Sasa huyo kijana atamla mama yake?
Mengi Reginald na k mnamsifia. Au kwa kuwa ana chapaa
 

Nina nyumba kadhaa town nishindwe kuishi na mtu wangu kisa watoto. Hainiingii akilini bado.
 
Duh....haya marejesho nafikiri ni ya pride au vikoba naona mauzauza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…