Kweli kabisa,ukiona mtu anakulazimisha uabudu dini yake dini hiyo ni dhaifu na haifai!
Dini ipi ni imara na inafaa?
Kweli kabisa,ukiona mtu anakulazimisha uabudu dini yake dini hiyo ni dhaifu na haifai!
Hizo dini zenyewe zina madhehebu kadhaa kuonesha kuwa even a particular religion haijaeleweka kwa waumini wake.
Sasa mafundisho yepi kati ya hayo yatakuwa sahii?
Kagua kupitia mfano niliosema wa kulazimisha utapata mwanga!
Maswali gani?Hebu yarejee!!
Nilisema hivyo kwakuwa uumbaji wa kwenye bible si sawa na wa kwenye quran, pia sijui budha, hindus na dini nyingine zinasemaje.
Pamoja na hilo kwann tuamini kuwa uumbaji wa kwenye bible ndio standard?
What if evolution theory inzungumzia uumbaji in a different way?
Hii post yako nimekujibu nikakueleza kuwa ni kweli Quran na Biblia ni tofauti kwa sababu zimetoka vyanzo tofauti.Hivyo nikakuambia kuwa tujadili Biblia kwa sababu ndiyo ninayoiamini,lakini haimaanishi iko sahihi kwa kila mtu.Kuhusu imani nyingine pamoja na evolution siwezi kujadili kuhusu hayo kwa sababu sijui na siamini kama ni sahihi!
Tiger,nitakujibu wa kwenye biblia.Nimekujibu hivyo kwa sababu umeniuliza MIMI,suala la uumbaji huo kutokuonekana sahihi kwa wengine ni tatizo lao sio la biblia!
Sio kweli,uoga wa kuitumia akili yetu ipasavyo ndo insanity!
Na haiwezi kueleweka kwa sababu wameshaambiwa waamini...ili uwe muumini mzuri ni lazima uwe hauelewi,kama waumuni wote wakielewa Dini itakua ndo mwisho wake kwa hiyo sifa kubwa ya kua muumini ni lazima uwe hauelewi,Histiria inaonyesha walioelewa wote walionekana si waumini wazuri na wengine hata kuuawa kama akina Galileo Galilei.Hizo dini zenyewe zina madhehebu kadhaa kuonesha kuwa even a particular religion haijaeleweka kwa waumini wake.
Sasa mafundisho yepi kati ya hayo yatakuwa sahii?
Na haiwezi kueleweka kwa sababu wameshaambiwa waamini...ili uwe muumini mzuri ni lazima uwe hauelewi,kama waumuni wote wakielewa Dini itakua ndo mwisho wake kwa hiyo sifa kubwa ya kua muumini ni lazima uwe hauelewi,Histiria inaonyesha walioelewa wote walionekana si waumini wazuri na wengine hata kuuawa kama akina Galileo Galilei.
Dini ni tamaduni tu ya jamii fulani pahala fulani.
Tatizo tuna penda na tumekubali ku adapt tamaduni za wenxetu walio endelea mf. Waarabu na wamisionary.
Mtoto kuwa mkristo, mpagan au muislamu ni kurithi tu toka kwa wazazi wake na ndo maana tunaendelea kurithi tu cjui mpaka lini? Kwa nn hatuluendelea kurithi za babu zetu?
China, urus kuna baadhi ya maeneo hakuna kanisa wala mskiti inakuwaje hapo?
Jiulize swali moja hili:
Kipindi tunakua tumekua tukiambiwa Jerusalemu ni mji wa maajabu, wenye lulu,blah blah blah na tukajengeka kuwa kila mtu anataMani kufka maana kwa uwezo wetu hakuna liye amin kuwa anaweza kufika kirahsi.
Lakin leo inakuchukua saaana siku mbili kufika Jerusalem...hahaha
Babu zetu hawakua wanajua au kufikiri kuwa mawasiliano yanaweza kua kama hv leo kwa maana hiyo huo ndo ulikua ukomo wa uwezo wao wa kufikiri na hiyo ndo maana ya Mungu yaani ni mwisho wa uwezo wako wa kufikir.
Jiulize ni kwa nini the same book ( BIBLE/QURAN) but pple never understand it...why?
mkuu tofauti zzinatokana na jinsi ambavyo viongozi wa dini wanavyotafsiri ili ku-justify their weakness pamojaa na kuruhusu upagani utawale kweny imani. mfano ni jhinnsi wakatoliki wanavyong'ang'ania masanamu wakati imekatazwa mara nyingi sana katika biblia. Pia wengine wanavyozikataa amri za Mungu kwa kudai eti ni za agano la kale. Hawasomi hata sifa ya watakatifu waliotajwa katika ufunuo 14:12 "hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na imani ya Yesu kristu"Eiyer. Swali langu ni kwanini watu dunia nzima tumetofautiana kuielewa Biblia? Take your time and think!
Dini ngumu sana mkuu.
mkuu labda mlifundishwa vingine tofauti na Biblia inavyosema. Biblia imeuzungumzia Yerusalem mji mtakatifu mpya unaoandaliwa mbinguni kwa ajili ya watakatifu wale watakaoshinda dhambi, si kwa nguvu zao bali kwa uwezo wa mwannakondoo aliyechinjwa tangu misingi ya dunia. Si yerusalemu hii ya Palestina.
Hii itapita na dunia yote yenye maharibifu itatupwa kwenye ziwa la moto