Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Eiyer, Jul 17, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inaonekana binadamu ana uwezo mkubwa sana lakini bado hajautumia.Niliwahi kusoma utafiti mmoja na ikagundulika kwenye utafiti ule kuwa mwanadamu anatumia uwezo wake wa akili au kufikiri kwa asilimia 10 tu!Yaani pamoja na vituko vyote hatujaweza hata kutumia asilimia 50!Kumbe inawezekana ikawa sababu ya upofu wetu wa kujijua na kujua kuhusu nguvu zinazotuzunguka kama Mungu n.k,au ndo maana tunaamini katika hizo nguvu,yaani huenda hazipo na tunashindwa kujua hazipo kwa sababu hatufikiri vyema!
   
 2. t

  tshaka Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unashauli nini kwa wanadamu?
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Tutafute namna ya kutumia uwezo wetu wote ili utusaidie!
   
 4. Chambo81

  Chambo81 JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ndo maana Yesu alisema yeye ni Mungu....Then mtu anakurupuka kusema haiwezekani Yesu akawa Mungu...hyo inayoitwa Mungu unaielewa vizuri???Tatizo tunaogopa kudadisi nadharia ya Uungu kwa sababu dini zetu nyingi zinasema ni kufuru...check kwenye google verse za Tao Te Ching by Lao Tzu.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  psychologist wanasema hivi kile ukijuacho umetumia only 10% na hii ni kwasababu ukiweza kuiexploit yote this world will turn up to a disaster place for living imagine exploitation of what you have is only 10% and yet so much destruction in this world what if you exploit half of it?
   
 6. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Yah, God created human and gave him an ability to think. How ever the human is limited, there are some ideas he cannot exploit!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Hii ya kufuru siipendi kabisa!!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Ikitumika positively itasaidia sana!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Lakini hata tulichopewa hatukitumii ipasavyo!
   
 10. Chambo81

  Chambo81 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa ndicho nilichotegemea toka kwako yaan usingesema hivyo ningekushangaa.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini ndugu?
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Anamaanisha haya ndio matokeo ya mawazo ya kilokole_ofcoz walokole na wale wajahidina ndio wanaoiharibu hii dunia...kwa uvivu wao wa kufikiri.
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Toy soldier.......
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  any suggestion...elimu kwa mfano ni tamu sana
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kweli ndugu yangu . . . . . . . . .
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Elimu,nadhani inatakiwa iwe tofauti na hii tuliyonayo,maana hii ni matokeo ya 10%!
   
 17. M

  Makwarukwaru Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yawezekana kuna wengine mpaka tunakufa hata 5% ya akili zetu hatujaitumia.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Sitaki kuamini kuwa na wale wanaojisaidia pembeni wakati wanaliona tundu la choo lipo, kuwa nao wametumia 10% ya uwezo wao kufikiri
   
 19. Chambo81

  Chambo81 JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hicho ndicho ninachomaanisha.....Wavivu wa kufikiri na kuwajibika always wanajilinda na neno "KUFURU" sababu akishasema kufuru then humpeleki popote hata umfunge nyororo ujue hapo utamnyofoa mwili na mkono wake utabakia kwenye nguzo yake iitwayo KUFURU!!Tufunguke jamani waliotuletea dini wamerelax sisi huku tunakosa usingizi na kuchapana bakora kwa kitu ambacho hukuchagua mwenyewe(tumechaguliwa na wazazi wetu)...kua mkristo,mwislam,mhindu,mbudha n.k hatukua na option yoyote!!!Turelax kwanza then ndo tuzungumze ukweli at the end tutaelewana tu watanzania wenzangu!!!
   
 20. Chambo81

  Chambo81 JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Toa hiyo KUFURU ndo tunaweza kuzungumza hii mada vizuri sababu sio kitu rahisi rahisi tu kama unavyofikiria ndugu yangu Eiyer....Mtu ni kitu kikubwa sana ambacho mtu mwenyewe hajajijua na ukubwa wake upo karibu saaaaana na ile iitwayo Mungu...kwa ufahamu wangu,mtu yeyote akisema yeye ni mungu sintokataa ila ntamuuliza kama concept "MUNGU" anaielewaje???kutokana na jibu lake ndo ninaweza kusema chochote juu ya madai yake ya kwamba "yeye ni mungu"Kiukweli mungu hayupo mbaali na mtu tatizo mtu ndio hajui hilo kama ambavyo hajui kutumia uwezo wake mkubwa wa ki-ungu...na kuutumia ni mbali,ni kwamba hajui tu kama anao uwezo huo...na amini usiamini dini ndio inayompelekea mtu kuona kwamba kuna distance kubwa na tofauti kubwa kati yake na mungu na hapo ndipo ilipozaliwa kitu inaitwa KUFURU!!!
  Karibu sana tuendelee kutafakari hili ndugu yangu Eiyer.....!!!
   
Loading...