Mwanadada wa JF kanitongoza

Kama kweli wewe ni wa kiume basi ni mvulana, vinginevyo ni mse..... ge
 
huwa tunawasiliana kwa simu na saut yake nimeisikia kanitumia pcha zaid ya saba,nimejua ni mwanadada coz nkimwambia anitumie pcha ananitumia muda huo huo kwa mapoz ninayohtaj mim
Ahahahahaaaaaaaa unayapenda marinda yako lakini?nakushauri uchonge chupi ya chuma siku ya kwenda kuonana nae
 
duh mkuu,sasa haya maswali ya kitoto hayata kupeperushia ndege wako?
 
Tayari matokeo yasharudi kutoka kwa EXTERNAL, subiri tubandike Uje kufanya SUP zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…