Mwanadada wa JF kanitongoza

Upo ila unatakiwa uwe unasimamia kucha kila mkienda kule kwenye mambo yenu. Ninachokusihi, usije ukajaribu kukumbuka mapicha kama wakati ukiwa kwenye chama chetu......
Nasikitika mwanachama mwenzetu unatukimbia
nimekuelewa mkuu ila bdo cjaaga
 
Mtu amekupenda kwa roho safi,wewe unakuja kumtangaza humu jukwaani,nafikiri wewe ni mgeni wa mambo ya wanawake au vipi?,ndio maana mpaka sasa unapiga punyeto,.,.,.,.,.,.marabuku.
 
Wewe una matatizo umewahi kula maboga yanaitwa mamung'unya? Hiyo habari kuileta huku ni ungese tutumie namba yake Tuku saidie Hamna namna kama kick ushapata
 
Basi utakuwa nao wawili: nyeto na yeye.
 
Kama amekutongoza bc ujue amemaanisha kuwa anakupenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…