SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Huyu ni mwanadada Diane Shima Rwigara raia wa Rwanda ametangaza kugombea urais kwenye uchaguzi ujao.
Siku chache baada ya kutangaza nia yake hiyo maadui zake wakasambaza kwenye mitandao picha zake za uchi ili kumwogopesha na kumfanya ajitoe kwenye kinyang'anyiro. Dada wala hakujigusa.