Ni akaunti ipi nzuri kufungua Benki?

Am For Real

Senior Member
Nov 21, 2023
165
457
Salaam wapendwa, Mimi ni mtu ambaye nimekuwa nikikwepa kuweka hela Benki mara nyingi natumia M pesa lakini nimekumbwa na tatizo lililonilazimu kuwa na account ya Benki.

Swali langu ni hili account ipi Haina makato kabisa au ina makato madogo.Nimesikia kuhusu NMB chap chap account je itakuwaje nikifungua hii.Au Kuna mambo ntakosa??Msaada Kwa mnaoelewa.Faida hasara??
 
Back
Top Bottom