Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

Katika vitu vinaniudhi ni mtu kuniomba hela anaanza kwa kutamka "hata"

Mfano
"Nitumie hata 3000 basi ya vocha"
Huwa nachukulia kama ameiona hiyo pesa ni ndogo. sasa kama ni ndogo mbona yeye hana pumbaf zake!
Hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…