TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Tutaendeleza pale ulipo ishia kamanda... uliwapenda watz ndo maana ulijitolea kwa moyo kuwakomboa.... inauma at that young age...lala salama kamanda...
 
Ukabila mnafanya wachagga mimi jukumu langu ni kuwaambia tu.KARMAAAAAAAAA
mie si mchaga...!na kwetu hatuna ht asili ya uchaga!sipendezwi na KENGE MAJI km ww mnaokashifu vifo vya watu!SAID BWANAMDOGO ALIVYOKUFA FAMILIA YA KIKWETE ILITOA KAFARA ILI MTOTO wake awe mbunge si etii...?
kunguru mweusi wee...!!
yani kwa kua nyie mmezoea kutoa kafara ndo mnajua kila mtu yuko hvyoo...
humjui mbowe ww...umeanza kumjua baada ya kuja mjini!!!
p
 
Pumzika Kwa Amani Homeboy Ingawa tulikuwa tofauti kwenye Itakadi za Kivyama Daima hatukusahau Chimbuko letu.. Tangulia muddy, Tangulia Ndugu yangu lakini Umeondoka mapema Sana kaka... Dah sina la kuongea
 
RIP Kamanda,
Poleni wanafamilia na Watanzania wote kwa jumla walioko katika harakati za kutafuta mabadiliko.
Binadamu tuna mipango mingi, bali Mwenyezi Mungu anakuwa na mipango ya ziada na sisi.
 
kwa kweli inasiitisha sana maana ni juzi tu nilimsaidia kupakia mabango pale ofisi za NGOME aisee ni habari mbaya sana kwangu
 
Sometimes haijalishi kwamba utakaa mda mrefu kias gani kuamini kwamba kifo kimempata Kamanda Mtoi. Nimekataa kuamini kwamba Kamanda ameshatutoka japo siwezi badilisha kitu. RIP Mtoi. Ni njia ya kila mmoja wetu japo hatujui siku wala saa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom