TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.

dogo sku nyingne acha kuongea pumba. Ona walivyokupa za uso. Vuta pita hawa watu wangekuwa karibu naww live sasa hvi ungekuwa ICU unapumulia machines
 
Jana nilishangaa na kuchukuzwa sana kijana mwenzetu na wengineo wengi kudiriki kuandika humu jukwaani eti watu wa ccm ni makupe wanaopashwa kuuawa. Iwe ni mccm au mchadema, wote ni binadamu na wote tuna haki ya kuishi. Poleni wafiwa wote.
 
kwa nn cdm tu.wangwe.mtema.dada yake mbowe wote ajari na nusura zitto pale alipolegezewa tires za gari kule bagamoyi juzi kati ben saa nane pale kibaha nusura afe

ccm .juliana shonza.mwampamba .ben saa nane
 
Hakika sisi sote ni wapita njia na kwake tutarejea Allah tunaomba umpunguzie adhabu za kaburini na madhambi yake yote aliyo yatenda hapa duniani kutokana na udhaifu wakibinaadamu
 
Daah ni ngumu kuamini, Very sad news. Inna lillah wainna ilaih rajiun. Kweli wakati wa umaut unapowadia hakuna awezaye kuuakhirisha.
 
Amin!Waambieni wachagga kafara zimetosha.Chacha Wangwe,Mtoi,Mwangosi.Wajinga ndio waliwao.Mwaka huu lazima Mbowe aongeze jumba jingine DUBAI.Ukweli mchungu....

endelea na ukabila ndugu yangu maana ndo akili yako ilipofikia huko kungine kwa kua hawafi hongera sana!
 
Nilikuwa natamani nikutane na Uzi wa kukanusha taarifa hii...imenistua sana ....kwaheri kamanda ..
 
dogo sku nyingne acha kuongea pumba. Ona walivyokupa za uso. Vuta pita hawa watu wangekuwa karibu naww live sasa hvi ungekuwa ICU unapumulia machines

Unadhani na mimi nimekaanga meno.Acheni kutumia kafara za wenzenu kujenga MAJUMBA DUBAI.
 
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea. Tangulia Kaka Mohamed Mtoi nasi tuko nyuma yako. Inaniuma sana ila sina jinsi zaidi ya kumuomba Allah akuepushe na adhabu ya kaburi na muongoze kwa mema aliyofanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom