realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 138
Nna aibu sanaa. . . Nashkuru sanaKumbe toto zuri una aibu??.....pole mwaya!
Sina uhakika aseeNyie nasikia huwa ni hatari chumbani
hahaha uko kama mie lol huwa ukinikwaza lazma nikwambie na huwa nasahau hapohapo ila pia nina kinyono nukikunyamazia ujue sitakuwa na amani na wewe ...... naweza kukuua walahi ila nashukuru ninavyozidi kukua ndo hali hizi zinapunguaKupenda sana ambako kunanitesa mpaka nakua mtumwa wa mapenzi, jeuri hasa wa kwa wanaume wanaodhani hela inamfanya mwanamke akunyenyekee, kusema ya moyoni hasa kama mtu amenikwaza sinaga kumkawiza namwambia hapo hapo umenifanyia hivi sijapenda ukinuna shauri ako.
Do you smoke some joints my men?' I'd like to smoke with you bro.
Pesa haina tabia nzuri. Hiki kitu na mimi kinanilostishaNashindwa kutunza pesa kila nikiipata ingawa huwa ninaipangia mipango mahususi nitafanya hiki na kile pindi nipatapo hela inaanza kuniendesha kwa kuwanunulia marafiki bia,nyama choma hata kununua ngono kwa Madada poa hela ikiisha naanza kujilaumu kwanini sijatimiza inanikera sana hii tabia lakini nashindwa kujitoa kabisa nipatapo hela yoyote so sad.
Ndo ilivyo. Ukiingia chuo hautakuwa na wasiwasi na NACTE WALA TCU.Aisee mm weakness yangu ni selection za TCU na Nacte yani nikiona kaneno TCU napata mzuka wa ajabu nazama fasta kwenye account yangu yani daah inanitesa
OccasionallyDo you smoke some joints my men?' I'd like to smoke with you bro.
Muone mshana.Nashindwa kutunza pesa kila nikiipata ingawa huwa ninaipangia mipango mahususi nitafanya hiki na kile pindi nipatapo hela inaanza kuniendesha kwa kuwanunulia marafiki bia,nyama choma hata kununua ngono kwa Madada poa hela ikiisha naanza kujilaumu kwanini sijatimiza inanikera sana hii tabia lakini nashindwa kujitoa kabisa nipatapo hela yoyote so sad.
Mi siwezi bila wewe pembeni yanguWeakness yangu napenda kula.
Mekaa kama teja la kula.
I SEE!!..😀Ukurupukaji