kinhine ni utani nina utani mwingi ambao huwa siangalii rika wala cheo cha mtu wala wadhifa wake-faida yake huwa najuana na watu wengi sana ila hasara yake nikiwa serious kwenye insu fulani huwa siaminiki.huwa najaribu kuji control lakini siwezi nakuta najikuta nisha tania sana
Sipendi kuona mtu anaonewa kabisaa,yaani niko radhi kusimamisha shughuli zangu zote ili nimsaidie anaeonewa nikishamsaidia moyo wangu unakuwa na amani sana.