Weakness yangu ingine Shari za drafts nikikutana na mtu kavaa shati la draft Duuuuuh huwa nahisi kuchizi ntamuangalia mpka shingo itasalim amri aitheeee
Pamoja na utumishi wangu lakini tabia ya Flirting inanitesa sana,Nimefanya na almost wanawake wote hapa ofisini, wengine wameniwekea bifu, sijui naachaje hii tabia?!!!
Sijui kuwa seriouz,yani hata kwenye mambo ya msingi me ntaweka utani kidogo tu,unaweza kunifananisha na JK,Pia ni muongeaji sana.hayo ndo madhaifu yangu makubwa.
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
Mi nilishauriwa kwenda hospital nikaenda daktari akataka nisex nae eti ndo ajue shida ni kuandaliwa au ni kitu kingine nikaamua kuondoka na sitaki kwenda tena hospital natafuta mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume naamini nikimpata tutaendana na hatutasumbuana
Pamoja na utumishi wangu lakini tabia ya Flirting inanitesa sana,Nimefanya na almost wanawake wote hapa ofisini, wengine wameniwekea bifu, sijui naachaje hii tabia?!!!