Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,686
- 39,816
Taarifa ya nini sasa we unaona ajabu kwa mtu kukwambia yupo ughaibuni? Huna tofauti na huyo aloyepiga picha hapo juunna wewe hongera kwa kuwa ughaibuni mkuu,tunashukuru kwa taarifa...
Taarifa ya nini sasa we unaona ajabu kwa mtu kukwambia yupo ughaibuni? Huna tofauti na huyo aloyepiga picha hapo juunna wewe hongera kwa kuwa ughaibuni mkuu,tunashukuru kwa taarifa...
Aisee naomba mawasiliano yake na Mimi nataka nijenge hivyoMbunifu wetu wa ujenzi katujengea hivyo
Ohooooo!!!Peleka utumwa wako Huko porini.... Mnazurura tu.... Kwenu mmepatelekeza hakuna lolote la maana. Mna ona ufahari kukaa kwenye miji na nchi za watu tu. Watu mwa nyie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningewaona wamaana kama mngedai hela zenu za rambi rambi mahakamani,
Hongera mkuu.
[emoji23] [emoji23] ila mkuu ww mtegez hadi kwenye kucoment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee naomba mawasiliano yake na Mimi nataka nijenge hivyo
[emoji23] [emoji23] ila mkuu ww mtegez hadi kwenye kucoment
Hhhha kumbe na ww unamjua?Hapo atakujibu oohoo
Hii bangi ya MalawiNiko hapa Ubungo mbele ya Igoma kama unaelekea Uyole ni mkabala na Kange mkono wa kushoto kuna hotel ya Kilimanjaro.
Kwa wanaotokea barabara ya mjini wanaweza pita Ujiji wakatokezea Masasi ili kuepuka Foleni sijui wewe ukaa wapi
Hhhha kumbe na ww unamjua?
Aise Wapare bwana na sayansi ya asili ona hapo kushoto kaning'iniza nini chenye rangi nyekundu
Mkuu hiyo avatar siku moja nitaitolea uzimkuu hiyo avatar yako ni kiboko ya mji
[emoji1] [emoji1] huku state Christmas huwa tunapamba mpaka nje ya nyumba mkuu" ilo ni pamboAise Wapare bwana na sayansi ya asili ona hapo kushoto kaning'iniza nini chenye rangi nyekundu
simu yako itakuwa kimeo mkuu! Picha ipoMbona sioni picha. Au simu yangu fake!!?