Mwana JF mwenzangu, unatokea wapi wewe?

excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
21,303
14,775
Mimi kwetu huku... teh teh, nilikuwa masomoni aisee

1476767917461-jpg.419988
 
Yaani kwa upuuzi niliouona kipindi cha tetemeko, wahaya na wana bukoba wote nimewashusha thamani sana. Mijitu imesoma lakini haijaelimika. Yaani ingekuwa kuelimika ni kugraduate wahaya wote wangekuwa wanavaa magauni barabarani. Elimu haiwasaidii wa kwenu, ya nini???
Mkataa kwao mtumwa...tulifunzwa masculinity.
 
Hivi na mimi nipige picha na gari limeandikwa kondoa huku ughaibuni? Wacheni ushamba nyie wahaya
 
Back
Top Bottom