Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 249 Sep 17, 2011 #101 Karibuni chakula cha mchana na moja baridiiiii, hapa Maryland Bar
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Sep 17, 2011 Thread starter #102 flora msoffe said: Asee nimemeza quinine ya 12 hapa na madawa chungu mzima yaani nipo hoooi kitandani Click to expand... Thanks God chloroquine na quinine haviui siku hizi
flora msoffe said: Asee nimemeza quinine ya 12 hapa na madawa chungu mzima yaani nipo hoooi kitandani Click to expand... Thanks God chloroquine na quinine haviui siku hizi
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,905 Reaction score 9,335 Sep 17, 2011 #103 Mimi nipo reverbetween lakini baada ya mda naelekea Hongera!
N nasri athumani Member Joined Jul 13, 2011 Posts 64 Reaction score 8 Sep 17, 2011 #104 nipo maeneo ya villa park mwanza nasubilia game la Asernal
N nasri athumani Member Joined Jul 13, 2011 Posts 64 Reaction score 8 Sep 17, 2011 #105 nipo maeneo ya london kwenye mataa wa ronger,Hotel ya vicent nikistbili game ya man u na chel.
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,254 Reaction score 9,168 Sep 17, 2011 #106 nipo kigogo sambusa ninafurahia mbuzi Katoliki rost,+laga bardi. huku ninachungulia JF kuna nini kipya! story hapa ni mv spice.
nipo kigogo sambusa ninafurahia mbuzi Katoliki rost,+laga bardi. huku ninachungulia JF kuna nini kipya! story hapa ni mv spice.
Naipendatz JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 5,091 Reaction score 8,243 Sep 19, 2011 #107 Nipo primar club sinza makaburini,nimetoka Olympio sports bar sinza mori kucheki gemu ya madrid vs levante,madrid wameniboa sana wamepigwa kimoko
Nipo primar club sinza makaburini,nimetoka Olympio sports bar sinza mori kucheki gemu ya madrid vs levante,madrid wameniboa sana wamepigwa kimoko
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Sep 19, 2011 #108 niko london bar hapa nakula beer kwa blue tooth navizua yule demu kwenye kibanda cha vocha niombe number
niko london bar hapa nakula beer kwa blue tooth navizua yule demu kwenye kibanda cha vocha niombe number
RasJah JF-Expert Member Joined Nov 5, 2009 Posts 703 Reaction score 64 Sep 19, 2011 #109 Niko mikindani nasubiria supu ya pweza hapa msemo hotel
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,171 Sep 20, 2011 #110 Ngalangala said: Niko mikindani nasubiria supu ya pweza hapa msemo hotel Click to expand... <br /> <br /> mkuu unanikumbusha supu ya pweza Ntwara! I miss it. Niko bongo kwenye foleni naelekea home.
Ngalangala said: Niko mikindani nasubiria supu ya pweza hapa msemo hotel Click to expand... <br /> <br /> mkuu unanikumbusha supu ya pweza Ntwara! I miss it. Niko bongo kwenye foleni naelekea home.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,492 Sep 21, 2011 #111 nachati hapa jf
imma.one JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 542 Reaction score 37 Sep 21, 2011 #112 Niko mwembe chai nimetokea mawasiliano tawa kumeet na member wa jf imefurahi sana.napata msosi hapa cafe ya mwembechai plazza. Ni pooooo w w w wa
Niko mwembe chai nimetokea mawasiliano tawa kumeet na member wa jf imefurahi sana.napata msosi hapa cafe ya mwembechai plazza. Ni pooooo w w w wa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Sep 21, 2011 Thread starter #113 ndio nimetoka job naelekea kusakasaka madaladal nirudi home
S Shadya Member Joined Sep 14, 2011 Posts 87 Reaction score 42 Sep 21, 2011 #114 Niko home mwenzenu najaribu kumkumbushia mwanangu aliyojifunza shule, na je mnaweza kunijuza mwalimu wa hesabu wa darasa la kwanza aliyepo maeneo haya ya huku kwetu salasala, hesabu zinamsumbua mwanangu wa jf
Niko home mwenzenu najaribu kumkumbushia mwanangu aliyojifunza shule, na je mnaweza kunijuza mwalimu wa hesabu wa darasa la kwanza aliyepo maeneo haya ya huku kwetu salasala, hesabu zinamsumbua mwanangu wa jf
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Sep 22, 2011 #115 bujibuji said: thanks god chloroquine na quinine haviui siku hizi Click to expand... sijanywa ili nife we mkaka!
bujibuji said: thanks god chloroquine na quinine haviui siku hizi Click to expand... sijanywa ili nife we mkaka!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,085 Sep 22, 2011 #116 Nipo makoa motel shinyanga.. Haka kamkoa kanaboaaa!
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,362 Reaction score 4,938 Oct 15, 2011 #117 Niko Regent Estate kwa Rasta nasubiri mdudu namsubiri kwa Ndovu bariiiiiiidi