Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
hata watumishi wa Mungu mnatusema vibaya.
Last edited by a moderator:
hata watumishi wa Mungu mnatusema vibaya.
Magumashihehehe magumash
umeanza lini utumishi?
Njoo nikufanyie maombi. İla uje without ndo utaniamini.
huyo anaeperuzi without kwenye avatar ni mwanao? au we mwenyewe?
siji mie..maombi nafanyiwa parokiani tu
Huyo ni mimi mwenyewe orijinale. Umenidondokea ghafla?
Unawaza kudondokewaa tu
Huyo ni mimi mwenyewe orijinale. Umenidondokea ghafla?
aa wapi
Afu nakutafuta, seriously.
Sichangii hadi nipate tafsiri ya neno MTATA
Halafu hilo gari likizeeka linaitwaje?Ni aina ya Gari. Aina hiyo ya Gari ikiwa ndogo inaitwa TATA na Aina hiyo hiyo ikiwa kubwa linaitwa MTATA
Lara1 ....