Puppy JF-Expert Member Oct 6, 2011 2,995 2,494 Sep 12, 2019 #101 mizy gajo said: Sky Eclat huyu ni the best among bests Click to expand... Hapo sawa
issac77 JF-Expert Member Apr 26, 2013 2,960 4,819 Sep 12, 2019 #103 Ukizungumzia member maarufu hum...upande wa imani/dini Mshana Jr , Kiranga upande wa mmu GuDume Zero IQ upande wa chit chat @jembekileo Demiss upande wa siasa pasco mayalla upande wa kule kwenye jukwaa la pilau Ukwaju
Ukizungumzia member maarufu hum...upande wa imani/dini Mshana Jr , Kiranga upande wa mmu GuDume Zero IQ upande wa chit chat @jembekileo Demiss upande wa siasa pasco mayalla upande wa kule kwenye jukwaa la pilau Ukwaju
Saint Anne JF-Expert Member Aug 19, 2018 73,812 225,600 Sep 12, 2019 #104 Santino said: Habari za Dar? Click to expand... Sipo dar
Saint Anne JF-Expert Member Aug 19, 2018 73,812 225,600 Sep 12, 2019 #105 Santino said: Aache kufananisha wajomba zangu na watu wa ajabu. Click to expand...
Stopper3 JF-Expert Member Sep 1, 2019 625 1,030 Sep 12, 2019 #107 Member maarufu kule kwetu kwa wazee wa mikeka ni @Void na Mayu
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Sep 12, 2019 #108 Hance Mtanashati said: Hance Mtanashati Click to expand... wewe labda ikiwekwa list ya wanawake tupu.
Hance Mtanashati said: Hance Mtanashati Click to expand... wewe labda ikiwekwa list ya wanawake tupu.
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Sep 12, 2019 #110 Hizi ID za zilizofunguliwa miezi na siku za karibuni ni kazi humu JF
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,634 697,928 Sep 12, 2019 #113 Dinazarde said: Wapeni na pesa Click to expand...
Chief Editor JF-Expert Member Feb 18, 2019 780 2,261 Sep 12, 2019 #114 Tuzo ya chipukizi wa JF naisubir
mizy gajo JF-Expert Member Jul 30, 2016 801 885 Sep 12, 2019 #115 Sema huyu Kiranga ata shetani atakua anamuogopa... issac77 said: Ukizungumzia member maarufu hum...upande wa imani/dini Mshana Jr , Kiranga upande wa mmu GuDume Zero IQ upande wa chit chat @jembekileo Demiss upande wa siasa pasco mayalla upande wa kule kwenye jukwaa la pilau Ukwaju Click to expand...
Sema huyu Kiranga ata shetani atakua anamuogopa... issac77 said: Ukizungumzia member maarufu hum...upande wa imani/dini Mshana Jr , Kiranga upande wa mmu GuDume Zero IQ upande wa chit chat @jembekileo Demiss upande wa siasa pasco mayalla upande wa kule kwenye jukwaa la pilau Ukwaju Click to expand...
Kiranga Platinum Member Jan 29, 2009 71,284 105,517 Sep 12, 2019 #116 mizy gajo said: Sema huyu Kiranga ata shetani atakua anamuogopa... Click to expand... Thibitisha Shetani yupo na si hadithi za watu tu.
mizy gajo said: Sema huyu Kiranga ata shetani atakua anamuogopa... Click to expand... Thibitisha Shetani yupo na si hadithi za watu tu.
S Saveya JF-Expert Member Aug 18, 2019 2,310 2,246 Sep 12, 2019 Thread starter #117 Mpaka sasa hivi brother 'mshana jr ' anaongoza
S Saveya JF-Expert Member Aug 18, 2019 2,310 2,246 Sep 12, 2019 Thread starter #118 Mpaka sasa hivi brother 'mshana jr ' anaongoza
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,634 697,928 Sep 12, 2019 #119 Saveya said: Mpaka sasa hivi brother 'mshana jr ' anaongoza Click to expand... zingekuwa shekeli leo ningetoa loku na cheni bloku mpaka kuche
Saveya said: Mpaka sasa hivi brother 'mshana jr ' anaongoza Click to expand... zingekuwa shekeli leo ningetoa loku na cheni bloku mpaka kuche