Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,758
Hawawezi kuwa wajomba zangu hao. Wajomba zangu wana hekima sana.Hivi mods Ni wajomba zako!??
Mbona unawachezea sana
Akhsante Sana.
Ila Mimi usinikorofishe please maana utanionea Mimi mpole
Hawawezi kuwa wajomba zangu hao. Wajomba zangu wana hekima sana.
Mumoja yure halienda itaria nimujomba wagu na ana ekima sana amehoa muzungu? Ukumbuki mujomba wa itaria
Mimi mwenyewe ni mpole sana, huwa nalia nikisikia usingizi.
Huwa unakorofisha Sana watu humu
Naomba nipe sifa ya Saint Anne.
Wewe brother wewe
Hahahaha.Naomba nipe sifa ya Saint Anne.
Mimi sitaki unikwaze tafadhaliSijawahi kukwazana na mtu. Na mara zote marafiki zangu wote niliwapata baada ya kukwazana.
Naomba tukwazane kwanza ili tuwe marafiki.
Hahahaha.
Muoga,sio mkorofi Sana...mtaratibu Sana..sifa nyingine ipo kwenye jina lake.
Mimi sitaki unikwaze tafadhali
Mayala anajulikana hadi na raisina mayala maana yake njaa... Ila ukiachana na kujulikana na raisi mshana jr aka ganga la kienyeji linajulikana sana humu na lipo sehemu nyingi kwenye threads
Bora tusiwe Marafiki Sasa.Pole sana lazima tukwazane ili tuwe marafiki.
AiseeeHebu niambie sifa zote maana nasikia ni pombe yenye kuleta malengelenge kichwani.
Bora tusiwe Marafiki Sasa.
Ila hata ukitaka kunikorofisha sawa tu..sitarespond ukorofi wako
Bora iwe hivyo.Basi tusiwe marafiki kama hutaki tukwazane.
Habari za Dar?Bora iwe hivyo.
Mimi sio mgumu kulia nikikorofishwa.. Sasa wewe ulivyo mkorofi si utanionea tu
π π πHawawezi kuwa wajomba zangu hao. Wajomba zangu wana hekima sana.
Mumoja yure halienda itaria nimujomba wagu na ana ekima sana amehoa muzungu? Ukumbuki mujomba wa itaria
Aache kufananisha wajomba zangu na watu wa ajabu.