donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Huyu nani?
mkuu mmoja hivi alwataan wa kule chitchat
Sasa mbona kamevaa nguo ya mdogo wake? Au yake ilikuwa haijakauka?
Jamani naomba nianzishe mchango, aliibiwa nguo zake zote juzi kati. Hata ID yake hivyo anaomba tumchangie anunue nguo nyingine. Mfadhili wake mkuu ni don nanihiino. Oh! Poor meeee nimepoteza ufahamu wangu tena
bestie utaambiwa ushamba mzigo, hahahaMwambie kama maskini wa nguo nimgaie madera yangu walau mawili....binti mrembo namna hiyo aibu kuvaa hivo
salam zimefika da farkhina af ntakuchek nkuringishie vitu vipya balaa
bestie utaambiwa ushamba mzigo, hahaha
lmao,mkuu mimi ni rafiki tu na si mfadhili. hahah. ila we wafaa kabisa kua mfadhili
Sitaki nimenuna tangu uende dom umenisusa dada koπππ
Nipeni namba yake
Huyu ni Heaven on Earth kama sijakosea..Mtoto kajaliwa aisee
Sitaki nimenuna tangu uende dom umenisusa dada koπππ