Mwana JF anusurika kifo

Mwana JF anusurika kifo

.....I'm so sorry, you're in my thoughts and prayers.
 
Wishing Azikiwe a speedy recovery..... ila nimesikia huko MOI kuna kitengo cha ajali za pikipiki na ukifikishwa huko matibabu ni ya kusuasua sana maana wamechoka na ajali za pikipiki..jamani aliye karibu na huyu ndugu yetu a monitor closely vinginevyo mkono/mguu utaozwa na kukatwa.
 
Pole sana mkuu Azikiwe,,,,,,,Mungu akujaalie upone haraka
 
Pole sana Azikiwe
Nakuombea fast recovery na tunakumiso jamvini
 
I went to see him jana; he looked okay, operesheni was a success!

He's a trong chap!
 
Get well soon Azikiwe. Mungu ni mwema atakujalia tu. See you soon here brother
 
Pole sana Azikiwe mungu akuponye haraka urudi uraiani
 
Back
Top Bottom