Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Dada ana u-hair huyu dahhh, nimezitamanije!!!! (ila bible imekataza kutamani so naomba msamaha) hongera zako mwaya, na sie sio siku nyingi kwa neema ya Yesu tutaingia huko soon!!!Tuombeane tusipate watu-viatu
 
Hata wewe pua yako Bab kubwa. Muombe sana Mungu usije ukapata mme mnywa valeur Brandy ...hawamalizagi kabisaa
 
Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi anataka support kutoka kwa JF members walau walioko karibu..........sasa sisi tulioko huku Kagera........masaka..........kampala.........mwanza. Tukutane tumpe support huyu great thinker hadi mumewe ajue kabisaaaa kuwa hajaoa kilaza. Kuberwa mwenyewe avatar yake hii hapa. Wanaotaka ageuke watamuona live. Nimepewa jukumu hili kama mwanakamati. Siku ya send off yake Kutakuwa na zawadi kutoka kwa JF members.

Kuberwa
avatar30268_3.gif
nasubiri ageuke...namtakia kila la kheri ktk safari ya maisha mapya ya mume na mke
 
Back
Top Bottom