Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Jamani labda mi nimechelewa kutoa mchango wangu mana leo ndo nachungulia kwenye JF kwenye hii pge ya love. niko Magu
 
Jamani labda mi nimechelewa kutoa mchango wangu mana leo ndo nachungulia kwenye JF kwenye hii pge ya love. niko Magu

karibu, hujachelewa mwisho wa mchango ni Tarehe 15 Februari. wasiliana na Ta Muganyizi kwa mawasiliano zaidi akupe jinsi ya kutuma
. Thanks in advance
 
Actually, we're in the same situation, but different sex! I do it on 11/02. I'm more than bussy thats y I'm late to post my coments though I saw the thread on its first day. Congrats, all the best. I hope things will be alright. Cheers!
 
Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi anataka support kutoka kwa JF members walau walioko karibu..........sasa sisi tulioko huku Kagera........masaka..........kampala.........mwanza. Tukutane tumpe support huyu great thinker hadi mumewe ajue kabisaaaa kuwa hajaoa kilaza. Kuberwa mwenyewe avatar yake hii hapa. Wanaotaka ageuke watamuona live. Nimepewa jukumu hili kama mwanakamati. Siku ya send off yake Kutakuwa na zawadi kutoka kwa JF members.

Kuberwa
avatar30268_3.gif

Hongera sana bi dada! Mwenyezi Mungu akujaalie kheri katika safari yako kuelekea maisha mapya.
 
Actually, we're in the same situation, but different sex! I do it on 11/02. I'm more than bussy thats y I'm late to post my coments though I saw the thread on its first day. Congrats, all the best. I hope things will be alright. Cheers!

Hongera sana kaka! Mwenyezi Mungu akujaalie kheri katika safari yako kuelekea maisha mapya.
 
Mtu mwenyewe msomaji tu post mbili same ameanzisha.

michango zawadi ya nini umemuuliza kama ana pa kuishi baada ya ndoa akitoka kwao?

mnaomba msaada kwa wahaya tu...ok

BYE!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom