Akikamatwa ndo utaelewa km ni mpuuzi au la, naona unamtetea kama vile unaishi sayari nyingine na hujui kinachoendelea kuhusu 'sembe'. Inakuwaje unausemea moyo wa mtu!? Unless ni we mwenyewe unayeandika.
so umeanza mwaka kwa kunitukana? If ur neutral in situation of injustice,u are on side of oppresor. Kwanini umsingizie kila anayeenda china anapeleka sembe?
akikamatwa ndo utaelewa km ni mpuuzi. Naona unamtetea kama vile unaishi sayari nyingine na hujui kinachoendelea kuhusu 'sembe.inakuwaje unausemea moyo wa mtu!? .
mkuu hapo kwenye lile somo la logic kuna kitu kinaitwa fallacy of generalisation!! Nenda kasome hicho kpengele. Anyway unaweza nitajia angalau wanahiphop wa3 madonkey.