Mwana FA umetusaidia sana maana walizidi kutuchuna

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari wana MMU

Kiukweli haka ka nyimbo kamenigusa.

Ni kweli kuhonga kuna leta mkosi hili mi nishaliprove. Kuna mademu ukiwapa hela kupata nyingine ni shida sijui mpaka amalize kuitumia.....

Mpunguze njaa
 

Attachments

  • Dume Suruali ft. Vanessa Mdee.mp3
    4.3 MB · Views: 59
Viuno vingi kama wali wa kimakondee
Dada unapenda hela kama mfuko
Bonge la ngoma big up Mwana Fa ft V.Money
 
Huo ni ujinga sasa mnavo waona wamependeza na kuvutia mnafikiri nani anawahudumia mkifata ushauri wa huyo jamaa mademu wazuri mtaishia kuwaita shemeji!
Kweli wewe wameisha kugeuza zoba..! Kwani hawana mikono eti nani kawapendezesha harakati kila kukicha wanataka haki sawa hiyo siyo haki kujihudumia??

Wafanye kazi waache utahira kuuza papunchi, hawana wazazi kama wakubwa wajifunze pia kujihudumia tutoe kwa upendo siyo asipopewa ananuna ushamba huo.
 
Watoto wa kiume mna kelele siku mkiwa "wanaume" mtanyamaza
Songi limeenda school
Umeona eheeh..!

" unapenda pesa zangu, ata mie nazipenda!

"Yabaki mapenzi siyo kuleteana ujambazi.

"Kupenda hela kama mfuko mkome!

"Mwanaume wa hivyo wanini sasa? Hayo ndiyo maneno yenu..!

"Kwani dada unauza nini??
 
Back
Top Bottom