Mwana FA kavuta jiko

Huyu jamaa hana vikashifa vya ngono saaaana, ila najiuliza kwanini aoe alipouona mwezi uleeeeeeeeee!!!!
 
Sijakusoma mkuu,
Bilioni 2 za tigo ni zipi hizo?
waliishtaki kampuni ya tigo kwa kutumia nyimbo zao {masuala ya hakimiliki} bila makubaliano, wakawataka wawalipe fidia ya tsh 2 b. sijui kesi yao kama walishinda , sikufuatilia zaidi.
 
waliishtaki kampuni ya tigo kwa kutumia nyimbo zao {masuala ya hakimiliki} bila makubaliano, wakawataka wawalipe fidia ya tsh 2 b. sijui kesi yao kama walishinda , sikufuatilia zaidi.
So unataka kusema demu kakubali kuolewa kwa kuwa kuna 2bn inakaribia mlangon
 
Jibu murua hilo ulilotoa. Age is nothing but a number. Sasa namba zimemuacha vipi huyo MwanaFA

Wewe binti vipi mbona umekuwa incosistent; kule kwa KYLN ulikuwa unamshambulia kuwa mumewe mzee hata gemu hawezi na huku unasema umri si kitu kwani it is just a number!!! Nilikualika tuwasiliane ukaogopa ukaishia kuniomba picha!!! Acha ukilaza wako.
 
Sasa mwanaFA unamlinganisha na kile kibabu?
 
Sasa wale wa ' Bado Niponipo Kwanza' wafuate nyayo. Hongerah mwana FA hatua muhimu katika maisha!
 
Ule mziki ni utunzi ktk kufikisha ujumbe kwani kina wolper wanavyoekti wanajiuza makahaba ndo kweli??!!ni kutoa burudani tu sio maisha halisi au mnasemaje waungwana nawatega?!!
 
Huyo dada aliyemwoa bila shaka ndiye yule wa Sinza Palestina. Hako katoto ndio kamenikumbusha.
Hongera yao.
 
Back
Top Bottom