Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

Kumbe nimekuwa mwenyeji............Halfu nilikuwa sijacheki signature yako "Moro...Mji Kasoro Bahari Mpo?
b52 kutua mjini!"
Hahahaaaa ndio maana yake
Dah una macho aisee
Nataka kwenda kula raha kesho na jumamosi then jumapili ntapita Jiji kubwa kumsalimia Madame B na cacico then j3 narudi zangu kwa Preta chugaaaaa
 
Last edited by a moderator:
ah ha ha ha hah h kwani baada ya kusoma certificate in business studies hukuendelea tena pale CBE?

Hebu nifafanulie maana umeniacha njia panda! mimi nimesoma mpaka mwalimu kafa ubaoni! elimu yangu ni kubwa sana nina certificate ya chekechea! sasa huko unakonipeleka naona kama unanivunjia hadhi yangu!
 
mimi na ma swtlo Kaizer tunaish nyumbani tandika double cabin kwenye wauza mchele ule wenyewe toka bara na pwani. mwanangu Ronn M kwasasa ameoa hivyo anaish magomeni mikumi na mkewe jeneneke. dada yangu mkubwa ( mke mkubwa ) AshaDii tunaish naye nyumba moja ua mmoja, tunakula na kupika pamoja, ila kila mtu ana chumba chake ili kulinda heshima ya ndoa yetu.
 
Last edited by a moderator:
karibuni kwangu Chumvini....barabara ya kuelekea mapango ya Amboni!!!! Mtakula vibibi na pepeta na uwono......
 
Mi nipo sinza Palestina ukinibip t natoka, kwa kukata kiu karibu Bucks Pub mori kwa charles Hillary
 

Kwani mkiishi chumba kimoja heshima ya ndoa itavunjwa? kivipi?
 
Hehehehehe.......... Huyo kwani ni he/she?

Kwanza tuanzie hapo.

Bila shaka ni she...........lakini hata kama ni wa upande wa pili unafunika kombe tu.....................
 
Hahahaaaa ndio maana yake
Dah una macho aisee
Nataka kwenda kula raha kesho na jumamosi then jumapili ntapita Jiji kubwa kumsalimia Madame B na cacico then j3 narudi zangu kwa Preta chugaaaaa

Erickb52,
Vp utataka nikuandalie nini na nini?
Si utalala kabisa huku au?
Ila tutalala Mzungu wa 4.
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehe.......... Huyo kwani ni he/she?

Kwanza tuanzie hapo.

kwa kule pwani haijalishi kama ni she au he.....kote kote kwafaa...mradi ujue kucheza 'baikoko'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…