Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Upweke kaka Upweke mbaya!!!!!!!!!
Upweke kaka Upweke mbaya!!!!!!!!!
Upweke kaka Upweke mbaya!!!!!!!!!
Upweke kaka Upweke mbaya!!!!!!!!!
Kuna mwana Chit-Chat mwenzetu aitwaye manoah naona leo kapagawa na jini maimuna!
Tangu asubuhi amekazana kufungua thread zisizo na mbele wala nyuma!!
Nadhani week end yake aliitumia vibaya.
Hima jama tumsaidie mwenzetu.
uyu kavulugwaaaa, mie sikua mpweke..... jana nime enjoyyyyMbona kasema yuko na Maureen wanapeana tamu, au upweke gani unaousema weye!, sema tu inabidi viroba vipandishwe bei ili kudhibiti unywaji wake
Sasa madam charminglady,tunamsaidiaje huyu mwenzetu?
Naona kashafungua uzi mwingine,eti style za chumbani!!
Tutampoteza kijana mwenzetu bureee!!
anahitaji maombi,ngoja nimtafute @rev masanilo na @st ivuga.
Umeona eeeh???
Yaani leo alikuwa na imagination chungu mzima . . . .zimemtawala!
Pole yake.