Mwana CHIT-CHAT huyu asaidiwe!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Kuna mwana Chit-Chat mwenzetu aitwaye manoah naona leo kapagawa na jini maimuna!
Tangu asubuhi amekazana kufungua thread zisizo na mbele wala nyuma!!
Nadhani week end yake aliitumia vibaya.
Hima jama tumsaidie mwenzetu.
 
Last edited by a moderator:

anahitaji maombi,ngoja nimtafute rev masanilo na @st ivuga.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom