Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mkuu sie wengine watoto wa shamba! Hatuelewi rejesta za mujini!

sembe weee....usije ukakanyaga Yaeda......tuwache na vitunguu vyetu........
 
huyu punda aliekamatwa hiko macao alikuwa anashulika na nini....?
 
Natamani sana niwajue wanaowabebesha huu ujauzito wa sembe!
Aisee siku wema ama diamond wakikamatwa itakuwa noma sana!

DIAMOND ana afadhal ujue hela yake tunaona inatoka wap,show za above 10M kwake kawaida ckuiz,mara Cocacola m100,mara Voda cjui sh ngapi,atlst yeye
WEMA S pale kati hayo ma'Audi,Harrier nk ,mara nyumba m400 cjui,mara studio, mara dubai shopping,mara China,kwa biashara ipiii .,ht boutique ya kuzugia hanaa..ckuiz CD bongo movie haziuzik ht kdogo,na kaigiza movie ngap btw,nan amuhonge hela zote hzo?!!.....NANIIIII,KAMA SIO NGUVU YA SEMBE!..
 
Dah, ila wema bana kama ni kuuza k basi yeye ni the boss of the market! Nasikia eti yule jamaa alokuwa akimuweka posta bana kamtema!!

Sasa jamani nimeshangaa juzi mi nimekaa tu kwangu nimetulia, mara namba ngeni inaingia! Jamani nauliza nani? Akasema wema S! Ohooo! Unataka nini? Ws؛‎ ooh, unajua ww ni hb naomba uwe wangu!
Mmh, mi nilikataa aisee!
 
Logistics and transport management.

Amepata diploma kutoka pale NIT mabibo!

Teh!

huyu punda aliekamatwa hiko macao alikuwa anashulika na nini....?
 

Inashangaza!
 
kumbe ndio huyuuuuuuu,namuonaga akijishoo shoo kwenye video za miziki mbalimbali za bongoflevaaaa,full kuuuza nyago,akawauzie wazee wa guangzou jela huko,very sad,mtoto mzuri kakosa hata kazi ya receptiost hapo kwa dada mwamvita vodacom,kweli tamaa mbaya
 

hhahaahahaha,unatupaishaa mkuu...YN UKAMTOSA WEMA KWEUPEEE...HA HA,nmecheka kwel
 
EHHhhh em acha kupanic na wewe,she is giving options hapa,low standards kivipi,kwan lazma wote tuwe ma'CEO,..sasa kam huyu shule kichwani hana,kufanya kazi atafte za halali hataki,na spotlight anaitaka,si bora achune mtu,hutafungwa ukichuna,bt nat Sembe...
 
Mara mia angekaa kimya, kwani lazima aseme?

Huyu ni mtu aliyefanya kazi za PR kwenye makampuni ya kimataifa!

Access to social media and lack of impulse control has landed a lot of people in hot water. Some have even lost their jobs. One stupid comment can go viral in just a matter of minutes.

We live in a different world now with this phenomenon of social media and citizen journalism.

And you talk about her having worked in PR....how about this EX-PR executive named Justine Sacco......

Source
 
Huyu naye mungu angempa sura nzuri tungejuta...kwani wote wasiosoma hawana akili?hiki kidemu vipi
 

Hamna kupanic hapa, ku panic kukiniona nakuja kwenyewe kuna panic.

Labda wewe usiyelewa tofauti ya passion na panic ndiye utakayeweza ku confuse the two.

Atoe options yeye kama nani?

Nani kamtuma atoe options?

Kuna mwenzake mtu wa PR mdada katuma tweet ya maneno ya ovyo ovyo, PR firm wamemfukuzilia kazi mbali.

Mtu wa PR hajui hata PR?

Sasa huyu Mwamvita anayetakiwa kuwa msomi na hao ambao hawana talanta wana tofauti gani kama ushauri ndio huu?

Anajua kwamba kuna watu wako "on the precipice" wanasubiri mtu yeyote anayejulikana kuhalalisha mabuzi tu wapate excuse?

Anatoa message gani kwa umma sasa? Kwamba yeye kapanda kufika hapo kwa migongo ya mabuzi?
 
Mwamvita ushauri uliotoa siku mtu na au wewe ukiu-practice kwangu naua with my bare hands!!!

Jamani povu la nini. Mwenyewe kawashauri wadada, sisi wakaka povu la nini? Mambo ya Ngoswe waachieni akina Ngoswe.
 

Wacha waliue huko likome,kila siku mnaambiwa ching chang hawana matani na madawa,mchina gani anaetaka kufanywa zombi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…