Kuna e-mail ilisambaaga (wakati wa campaign 2010) ya mzungu fulani according to the e-mail wamezaa na Mwamvita akahamishiwa SA! Na kwenye ile e-mail Mwamvita alikua anaomba madolari mengi tu for January Makamba's kwa ajili ya campaign ya Ubunge na mambo kede kede!
1. Je, wazazi hawa (kama kweli) ni wazazi uzazi wao (kwa maana mahusiano) yao bado yanaendelea?
2. Kama ndio amehamishwa kwa sababu amefanya kazi nzuri hapa Tanzania au mahusiano ndio yamempeleka awe karibu na familia? Take note kasema, "I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally"! What career? Why can't she succinctly tell the career she'll soon assume at Vadacom Group - SA? Kama ataendelea na career ya hapa Tanzania (kwa maana amekua promoted) she also has to tell! She has made it public, let it be public.
3. Walio VODACOM, can someone (except for the CEOs) be transferred from one country to another? CEOs hawa ndo naonaga wakiletwa inatangazwa hivyo hivyo kwa waondokao.
4. Otherwise, I wish this daughter of Makamba the best in her career and life......