Duu kazi kweli kweli nilidhani utauliza kamempa nini kumbe mambo inajieleza..!Hiyo ni a MUST
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu kazi kweli kweli nilidhani utauliza kamempa nini kumbe mambo inajieleza..!Hiyo ni a MUST
aiseeeee.......wadau Mwamvita chini ya md aliyepita, dietlof mare alikuwa na influence kubwa sana ndani ya voda, wengine wanasema ilifikia sasa wakawa na uhusiano wa kimapenzi, mwamvita ndo alikuwa km msemaji mkuu, event organiser, hata wale walioajiriwa kwa kazi hiyo walifunikwa, kuna tetesi za ufisadi vile vile kwamba miss tz ilikuwa ikuwa half ya cost iliyokuwa inatajwa lkn dada alipiga nusu nyingine. Kaja md mpya chini ya maagizo ya Vodafone kaona influence ya dada ni kubwa, wenzetu wana akili sana ili wasiharibu kwa kumtoa pale kavukavu, wanampeleke sauzi huko atajikuta hana hata kazi maalum atakaa kwa period flani baadaye mwenyewe anaweza akasepa akaona hapafai. So hiyo ni njia ya kumuengua kijanja
Kaka hakuna cha maana zaidi maana hata Mama yetu Migilo naye karudi kama alivyoenda. Na mlolongo ndo huo, kwani ukienda kufanya kazi africa kusini lazima watu wajue. Watu wanafanya kazi marekani, uswiswi, norway, netherland, sembuse south africa? Huyu mie sioni hasa ananini si bora hata wema sepetu mwigizaji na aliwahi kuwa miss tz. Watu wanamvimbisha kichwa bure tu
Hapana kaka ana sifa hizi ambazo ni adimu, Ana mwanya, ana bwana mzungu, mtoto wa Makamba, dada wa Januari na kama unavyoona hapo ni boss huko vodacom na anahamishiwa SA, nilisahau ni msichana wa kwanza wa Kitanzania asie na mume kujenga hekalu/kasri... ni potential kwa nchi yetu ndio maana kaenda kumuaga Pinda!
Hongera sana!! katuwakilishe vizuri na usiwasahau watanzania wenzako kama panatokea nafasi za kazi ambazo unaona kuna watakao fit. Tatizo la sisi watanzia tunapopata nafasi za kazi nje tunapenda kuonekana kwenye jamii kuwa tunaishi nje hatusaidiani wenyewe kwa wenyewe,wenzetu wa West Africa au Kenya ni wataalam sana kwenye kusaidiana. Jaribu kuangalia idadi yao mf kwenye UN organisations wamejazana kibao.
Mwamvita ana cheo gani serikalini mpaka amuage waziri mkuu ofisini?wana jf naomba mnieleweshe
Du atakua analipwa kama expert au specialist ni mwendo wa more than 20,000$ per month hongeraaaa!
Mwamvita alipokwenda kumuaga Waziri Mkuu Mh. Pinda ofisini kwake wiki iliyopita....
"Friends,
On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a great time here at home, learnt a lot and grew tremendously personally and professionally.
Thanks to all of you for the support and encouragement as I went about my daily activities here.
I will continue to keep in touch and keep sharing my various adventures whenever I go and get stories worth sharing with you.
Remember, no matter who you are or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage.
Love,
Mwamvita"
Hivi alienda kwa Waziri Mkuu kama kada wa CCM, kiongozi wa serikali au kwa vile ni binti wa Makamba?
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....
Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
tuseme ofisini kwa pinda hamna hata laptop??. mbona ofisi imekaa kilocal sana?. mia