Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Hivi najaribu kujiuliza Ki-protokali Matamshi ya Shimbo yana mhusisha vipi Mkuu wa Majeshi Mwamunyange?
1. Kama Shimbo anaagizwa afanye nini na Mkuu wa Majeshi, je Mwamunyange haoni kwamba umefika wakati wa yeye kujiuzuru?, Maana kawakosea sana wananchi maana ndo wenye jeshi(Jeshi la wananchi wa Tanzania), na siyo la Rdhiwani na baba yake.
2. Kama Shimbo aliagizwa na Jk/Chama atoe hilo tamko, pia Mwamunyange ajiuzuru, kama alivyotaka kufanya pindi swahiba mmoja wa JK (mwanajeshi) alipojitwalia eneo la jeshi na hata alipoagizwa na mkuu wake alirudishe alikataa, mpaka Mwamunyange alipotaka kujiuzuru na Jk kumuomba asifanye hivyo lile eneo likarudishwa.
Mwamunyange jiuzuru usisubiri uendelee kuchafuliwa na hawa wapuuzi, unaheshimika sana katika jamii hasa kwa misimamo yako, na mbaya zaidi baada ya wananchi kuonyesha kuchoka kuburuzwa na familia ya JK, Jk anajaribu kuangalia uwezekano wa kuubeba urais kwa influence ya jeshi.