nenda kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama mimi nilivoenda nikanasa....afu mkuu sio ajabu wewe kwa mwamposa huendi lakini kwa mganga au unaenda, na kama hujawahi kwenda popote kushughulikia matatizo yako basi hayajakukuta mkuu, may be we ni mtoto wa kishua hujawahi pitia shida so kaa na mzazi wako akupe mbinu alizopitia mpaka akafikia mafanikio. ukija kupata shida utaskiliza kila ushauri mbaya/mzuri kwa lengo tu la kutatua changamoto zakoHuna akili kabis
Huna akili kabisa ya kujitambuwa, mtu mwenye akili hawezi kwenda kwa matapeli hao
Sijafundishwa kumhukumu mungu pasipo kujiridhisha, afu kwa mambo ya kimungu sinaga masiara kabisa...waga namuachia mungu nashika kile anachokifundisha ambacho hakifundishi sitomjudge na akifundisha nje biblia soul alarm inagongaaNaamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
Mkristo kweli unamwamini mtu alisababisha vifo vya watu 20 kule Moshi katika kukanyaga mafuta ya upako na baada ya mwezi mmoja akatunukiwa shahada ya Phd kutoka chuo cha huko Nigeria!! Akina Geo Davie wanafanya mashindano ya u miss kanisani mnawaamini kweli?!Sijafundishwa kumhukumu mungu pasipo kujiridhisha, afu kwa mambo ya kimungu sinaga masiara kabisa...waga namuachia mungu nashika kile anachokifundisha ambacho hakifundishi sitomjudge na akifundisha nje biblia soul alarm inagongaa
Mimi hii sababu ya kwanza ibada kuwa ndefu mpaka usiku ndo mtihani mkubwa kwangu ndio maana sikai mpaka mwisho maana najua nikitoka usiku au jioni sana daladala zitakuwa changamoto kuzipataMtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake....
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.
2.Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?
3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.
4.Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!
Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu..
Hongera kwa mawazo mazuri.Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake....
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.
2.Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?
3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.
4.Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!
Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu..
Noma sana"MABONDENI KULE JUU" umetisha mwamba
Mmekosea sana.na mam Ako mzazi hapazwi kuwa msela Kia's Cha mama Ako namshanga sna haendi kanisani Wala hatoi sadaka ,fungu la kumi ,malimbuko,shukrani za pekee yukoyuko tuKipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.
Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.
Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.
Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).
Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.
Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori?
Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess..
Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.
Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe.
Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?
Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?
Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.
All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
Ngeli gani upuuz huoNimependa ngeli yako mani .... umenikumbusha chagastan Budapest.....Big up dingiiii
Ngeli gani upuuz huo
Uko sahih Sana wameajiriwa wengi Sana ambapo serkali wameshindwa kuwaajiriIla kuna wafanyakazi wengi wanaolipwa mishahara walinzi wahudumu usafi mashushushu na wa kawaida na chakula kinapikwa wanakula wafanyakazi wote na wagonjwa n.k mimi si muumini wa pale ila kuna kazi nyingi zinazofanyika pale
Tutaamuamini vzr tuNaamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
Bora umemueleza ukweli mtupunenda kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama mimi nilivoenda nikanasa....afu mkuu sio ajabu wewe kwa mwamposa huendi lakini kwa mganga au unaenda, na kama hujawahi kwenda popote kushughulikia matatizo yako basi hayajakukuta mkuu, may be we ni mtoto wa kishua hujawahi pitia shida so kaa na mzazi wako akupe mbinu alizopitia mpaka akafikia mafanikio. ukija kupata shida utaskiliza kila ushauri mbaya/mzuri kwa lengo tu la kutatua changamoto zako
Na uzuri ameajiri wataalmuKiwanda chake cha maji kwa sasa uzalishaji si mmbaya
Eeh kwa upande wa mafuta bado anasoma upepo.
Kama ni mtumishi WA kweli WA Mungu maombi Yao huwa yako effective maana Wamewekwa kama makuhaniWajinga ndio waliwao.
Unaweza jiombea mwenyewe, Huitaji binadamu yeyote yule haijalishi ni mtakatifu kiasi gani, Akuombee. Hao ni matapeli wa kidini.
You can pray for yourself.You don't need any person no matter how holy he is, to pray for you.Pray for yourself, Religion is a scam.
When all people shall be wise in divine terms Those False prophets and Bogus religious preachers who feed on the ignorance of multitude will go hungry.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app