Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,281
- 7,476
Umelewa visungura unaropoka tu.... Hivi wewe lini utakuwa na akili?In fact,
kwamfano gwajiboi,
ni vizur angeacha kwanza ufuska na waamini wake, akaacha kujirekodi video za uzinzi na kuambukiza waamini wake ukimwi akatubu.
hapo hata anaweza kua na heshma ya kuitwa kiongozi wa dini 🐒
Mwamposa ni nani?, hii ni mada nyingine. Mwamposa hawazi kuikemea serikali kama gwajima. Akiwazingua tu wanamzingua asubuhi tu , kwa hiyo lazima asifie, awe chawa wa kudumu
Badala ya kumshukuru MUNGU anamshukuru Samia sijui huu upumbavu utaisha lini,sasa kwa ujinga huo kwa nini msifungiwe makanisa ya upuuzi kama ya akina Mwamposa.Tusome pia biblia kitabu cha Yeremia 17:5-7 MUNGU amesema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa Kinga yake.katika hali tuliyonayo ww mchungaji unaenda kwenye media unamshukuru Samia kwa kitu Gani kama ww sio poyoyo na kilaza au ww di tu.Yaani huduma zenu za kikristo zinafungiwa ww unaenda kumshukuru Samia,kweli Mwamposa Hana Akili kama wanaomfuata.Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma
Umeongea pointBadala ya kumshukuru MUNGU anamshukuru Samia sijui huu upumbavu utaisha lini,sasa kwa ujinga huo kwa nini msifungiwe makanisa ya upuuzi kama ya akina Mwamposa.Tusome pia biblia kitabu cha Yeremia 17:5-7 MUNGU amesema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa Kinga yake.katika hali tuliyonayo ww mchungaji unaenda kwenye media unamshukuru Samia kwa kitu Gani kama ww sio poyoyo na kilaza au ww di tu.Yaani huduma zenu za kikristo zinafungiwa ww unaenda kumshukuru Samia,kweli Mwamposa Hana Akili kama wanaomfuata.
Lazima amshukuru kwakuwa mtumishi mpiga dili.Hata utekaji na uminywaji wa haki hapanuwi domo lake.Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma
Lazima amshukuru kwakuwa mtumishi mpiga dili.Hata utekaji na uminywaji wa haki hapanuwi domo lake.
Huyo ni kunguni tu kama kunguni wengineChaw katika ubora wake -
Huyo ni kunguni tu kama kunguni wengine
HapanaJe anaunga mkono utekaji, mauaji, uwizi wa kura.....aache uchawa
Mungu aendelee kumbariki Mtumishi huyu; nabarikiwa naye sana!Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma
Pozi ya anayemuhoji Apostle ni ya kijeuri....! Anamkunjia nne Apostle na Apostle kawa mnyenyekevu bila kukemea. Sijapenda.Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma