Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 933 Reaction score 2,548 Oct 9, 2021 #1 Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili.
Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili.
WORLD WAR 5 JF-Expert Member Joined Aug 28, 2021 Posts 507 Reaction score 978 Oct 9, 2021 #2 MO kama vipi logo yake kwenye jezi ya simba ifutwe haraka sana...
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Oct 9, 2021 #3 Muache tajiri wetu
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,278 Reaction score 24,079 Oct 9, 2021 #4 Nini nyinyi Utopolo embu kaondoeni urasimu wa jezi kwa gsm anaewapa 700 kwa kila mauzo ya jezi moja.
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Oct 9, 2021 #5 Nyie mbona kama mnataka matusi kutoka kwa mikia wenzenu.
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,458 Reaction score 36,481 Oct 10, 2021 #6 Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... π π π π
Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... π π π π
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,672 Reaction score 76,767 Oct 10, 2021 #7 GSM Anaendelea Na Zile Kamati Mikoani
mutup Senior Member Joined Jul 28, 2021 Posts 198 Reaction score 188 Oct 10, 2021 #8 Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... kama vipi aondoke tu atuachie timu yetu π π
Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... kama vipi aondoke tu atuachie timu yetu π π
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,775 Reaction score 196,535 Oct 10, 2021 #9 Ngoja aje kukupa muongozo...
akilinzuri JF-Expert Member Joined Dec 15, 2020 Posts 387 Reaction score 427 Oct 11, 2021 #10 Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... Nenda jukwaa LA michezo
Candela said: Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili. Click to expand... Nenda jukwaa LA michezo
Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 933 Reaction score 2,548 Oct 12, 2021 Thread starter #11 akilinzuri said: Nenda jukwaa LA michezo Click to expand... Napitia wapi vile???