TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Nimemsikia Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Aikaeli Mbowe akibwatuka kuwa Magufuli akichaguliwa tena 2020 ataachana na siasa.
BAVICHA na wapambe wa Mbowe nendeni mumwambie Magufuli siyo wa aina ya viongozi anawaowafikiria wanaolala wakiota kuchaguliwa awamu nyingine badala ya kuwatumikia wananchi.
Ni ndoto hizi hizi za madaraka ndizo zinazopelekea viongozi kufunika funika mambo, kuachia uchafu ndani ya serikali, kuwabembeleza wauza unga, wala rushwa, mafisadi na kila aina ya wahujihumu uchumi kwa kutegemea wawabebe kwenye uchaguzi unaofuata. Magufuli siyo wa hivyo, kwake mbichi ni mbichi na mbivu ni mbivu.
Kiongozi aina ya Magufuli ndiyo tuliyemsubiri siku nyingi . Ananchokifanya Magufuli ni kujitoa mhanga, wananchi wakimuelewa Taifa lisonge mbele na wasipomuelewa basi waangukie mikononi mwa wenye uchu wa madaraka kama akina Mbowe na wawarudishe walikolilia kutoka.
Onyo: Mbowe mzee wa matamko bila kutekeleza, jiandae kuachana na siasa maana watanzania wengi walishamuelewa Magufuli. Kelele za Mawakala wa wauza Unga, wala rushwa na Mafisadi hazitamzuia Magufuli kuinyoosha nchi, hizo ni kelele sawa na zile za chura zisizoweza kumzuia ng'ombe kunywa maji.