Mwambieni Lizzy namtafuta

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
wandugu mfahamisheni kuwa anatafutwa kweli kweli na RF
 
Nimeona alikuwa hewani last time around Sept. Au hayuko nasi tena?
 
Maskini ya Mungu uyu mama alikuwa na msongo wa mawazo sana baada ya kuwa na bahati mbaya kwenye mahusiano,nilifanya kazi ya ziada kumrudisha kwenye mstari akarudia hali yake ya kujihisi na yeye ni mwanamke mwenye thamani..alianza kupotea baada ya kutimiza ndoto yake ya kumpata mwandani baada ya wana jf kumpotezea kama hawamuoni na kumwelewa..
Kama hatuko nae tena basi awasalimie uko alipo sisi tukijiskia tutamuombea.
 
wandugu mfahamisheni kuwa anatafutwa kweli kweli na RF
we arawa,sasa unantafuta ugomvi,kwa nini unamfatata Lizzy,kama unantaka ubaya vagi zangu muulize Nyani Ngabu.
Kwa taarifa yako mtoto Lizzy nimemtoa sweken huko ubga ltd kwa washamba kina Erickb52 na Arushaone na kumhamishia kwenye li apartment Upanga na vitara new model nimemkabizi.
Kijana tulia nisije nikakumwangosi,acha kabisa kuchezea anga za mapedejee.
 
Last edited by a moderator:

Vagi unalijua unalisikia?
 
umesahau siku ile nilikukata mtama kempinski kaunta level 8,shukuru Mungu ulikubali we na nanilii muachane.

Mbona huongelei kifuti nilichokupa ukaweweseka hadi ukamgonga waitress na kumfanya adondoshe tray lake?
 

unaongea ya kweli haya? Maana humu chit chat hakuna wa kumwamini
 

nataka nimpe dili huyu waifu wako. Sina jingine chief
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…