johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
mwambe asijisumbue,kama atabadilisha kabila na kuwa mchaga hapo sawa
Mtabanana naye hapo hapo Ufipa!
Abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu.Mtabanana naye hapo hapo Ufipa!
Hatuwapi CCM kipenzi chao hiki poleni na jiwe limewakaba kooni. Kumeza hamwezi kutema hamthubutu!Sijawahi kusikia kauli ya kimkakati kama hii kwa Dj
Sasa utaitoa CCM madarakani na Chadema hii ya akina Mashinji?!Mbona anaongea kwa tahadhari ili asiwaudhi wafadhiri wake ccm,
Kazi ya chadema ni kuitoa ccm madarakani, hayo sijui kuimarika na kutokuimarika ni mbwembwe tu.
Mwambe ana maono!Sijawahi kusikia kauli ya kimkakati kama hii kwa Dj
Kwanini kuna chuki kwa Jamaa sababu ya kugombea Uenyekiti wakati ni chama cha demokrasia. Au kweli tatizo ni kuwa, hana kabila sahihi?Mbona anaongea kwa tahadhari ili asiwaudhi wafadhiri wake ccm,
Kazi ya chadema ni kuitoa ccm madarakani, hayo sijui kuimarika na kutokuimarika ni mbwembwe tu.
Pinda kesha anza kitambo na Mzee wa kuokotwa jalalaniAnapiga kampeni?
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.
Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.
Saa ya ukombozi ni sasa
Maendeleo hayana vyama!
Hana mwelekeo sahihi!Kwanini kuna chuki kwa Jamaa sababu ya kugombea Uenyekiti wakati ni chama cha demokrasia. Au kweli tatizo ni kuwa, hana kabila sahihi?
sawa kabisa yaani kama vile Membe anavyoweza kutuvusha kwa wepesi kabisaMwamba atatuvusha