Sasa Mbowe kama Umekiri kuwa kumbe CCM ikiteua Mgombea wake ndiyo huja kuwa Rais, Wewe na CHADEMA yako mna Umuhimu tena kwa Watanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Mheshimiwa Rais Samia Wewe, Serikali yako pamoja na Chama chako cha CCM mlipaswa mtuombe Radhi Watanzania kwa kutupitisha katika Kipindi kigumu huku Wengine tukiumizwa zaidi. Rai yangu Kwenu CCM ni kwamba kwa miaka ijayo mtakuwa makini Kuteua Mgombea Urais anayefaa" amesema Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa alipokuwa akizungumza leo katika Kilele cha Siku ya Wanawake duniani mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Hassan.

Habari: ITV Tanzania

Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitofanya tena Maombi ya Huruma na Kuwaombea Wanasiasa walioko Magerezani Mwenyezi Mungu awapiganie Watoke na badala yake sasa nitakuwa nawaombea Wadumu huko Magerezani ( Jela ) wanakostahili Daima Milele Amina ( Wasitoke kabisa Waozee huko huko ) kwani kumbe huwa tunakuwa tunawatetea Watu Wanafiki na Majuha. Waliotukuka. Najuta.

Hovyoo.......!!!!!!!
 
Kwa Tanzania kufanya siasa kwenye so called vyama vya uponzani ni biashara ya kujipatia kipato kwa kuwachuuza wafuasi wao!! Vyama vimekuwa kama Saccos za makundi ya watu!
Hakuna upinzani wa kweli wote ni wachumia tumbo tu.
 
umemwelewa mbowe lakini..anachodai veting ya kumpitisha mgombea kila chama kiwe makini tusijetukampata rais wa ajabu km yule wa chato.usimlishe maneno mbowe
 
Back
Top Bottom